BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Kombe la Dunia 2026: Ivory Coast inaongoza dhidi ya Ujerumani
Kwa miongo zaidi ya minne Ujerumani haijawahi kupoteza dhidi ya timu za Afrika, ikianza mashindano ya kombe la dunia mwaka huu kwa ushindi wa 7-0 dhidi ya Curaçao. Tembo wa Afrika watavunja rekodi hiyo?
Tunafunga Mlango-Bahari wa Hormuz - Iran
Hii inafuatia makubaliano yaliyotiwa saini mapema wiki hii kati ya Marekani na Iran, yaliyolenga kumaliza mzozo huo.
Kombe la dunia 2026: Kanuni mpya za FIFA zatikisa hesabu za kufuzu
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kombe la Dunia, FIFA inatumia rekodi ya matokeo yote kama kigezo cha kwanza cha kutenganisha timu zilizo na idadi sawa ya pointi.
Ajenda ya nishati safi ya kupikia Tanzania nini kimebadilika?
Kupitia Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024–2034) Tanzania imepanga kutumia dola za Marekani bilioni 1.75, kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034.
Chanjo ya kwanza duniani iliyoundwa na akili unde (AI)
Timu kutoka Chuo Kikuu cha Cambridge inasema hii ni mara ya kwanza kwa chanjo kubuniwa na akili unde (AI) moja kwa moja na kisha kufanyiwa majaribio kwa wanadamu.
Kombe la Dunia 2026: Ratiba, msimamo na matokeo
Kombe la Dunia 2026: Nchi tatu, viwanja 16
Vifo takriban 30 katika kambi DRC vinaonyesha Ebola inaweza kuwa inaenea kwa kasi
Maafisa wa kambi walisema kiwango hicho cha vifo hakijawahi kushuhudiwa katika siku za nyuma.
Kisa cha mume kumlazimisha mkewe kushiriki ngono na wanaume 120
Mahakama ilitoa hukumu kuwa mwanaume huyo alimtishia na kumuogofya mkewe, na kumlazimisha kujiweka mitandaoni kwa nia ya kuwavutia wateja wanaotaka kushiriki ngono.
Kutafuna chakula vizuri kunaimarisha ubongo wako - Utafiti
Kutafuna zaidi kunaweza kutoa faida nyingi, kutoka kwa kuboresha usagaji chakula na kusababisha ulaji wa chini wa kalori, kupunguza mafadhaiko na wasiwasi, na kuboresha uwezo wa utambuzi kwa kuimarisha ustadi wa kumbukumbu na kuongeza muda wa umakini.
Tetesi za Soka Ulaya: Spurs wamfukuzia Wharton
Tottenham Hotspur ni klabu ya hivi karibuni kuonyesha nia ya kumsajili Adam Wharton. Liverpool bado hawajafikia makubaliano ya kumsajili Yan Diomande huku Fulham wakikosa kufanikiwa katika ofa yao ya kwanza kwa Chibuike Nwaiwu.
Je, tunajua nini kuhusu fedha za Iran zilizozuiwa ugenini?
Iran inadai kupewa zaidi ya dola bilioni 100 za fedha ambazo inasema inamiliki, lakini ambazo zimegandishwa au kuzuiwa nje ya nchi.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Mambo muhimu 14 waliyokubaliana Iran na Marekani
Makubaliano ya Marekani na Iran ya kuongeza muda wa usitishaji mapigano kati ya nchi hizo mbili yamesainiwa na sasa yameanza kutekelezwa, afisa mmoja kutoka ikulu ta White House ameiambia BBC.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Iran na Marekani wananufaika vipi na makubaliano yaliyoafikiwa, ugumu wa kuyadumisha ni upi?
Baadhi ya viongozi wa Marekani wanaiona mkataba huo kama mbaya zaidi ikilinganishwa na ule wa Barack Obama ulioafikiwa mwaka wa 2015, kwani hii ya sasa inaipa Iran nafuu zaidi.
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni 'vigogo' 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Hali ya maisha katika nchi tano salama zaidi duniani 2026
Viwango vya jumla vya amani vilizorota katika nchi 99, ikiashiria mwaka wa kumi na mbili mfululizo wa kushuka kwa hali ya usalama ulimwenguni.
Hifadhi za urani iliyorutubishwa za Iran ziko wapi?
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lilisema wakati huo kwamba Iran ndiyo nchi pekee isiyo na silaha za nyuklia duniani iliyofikia kiwango hicho cha juu cha urutubishaji.
Mataifa 10 ya Afrika yaliyo na uwezo mkubwa wa kiviwanda: Morocco yaipiku Afrika Kusini
Afrika imeshuhudia mabadiliko katika ukuaji wa kiuchumi kati ya Morocco na Afrika Kusini mwaka uliopita 2025, kulingana na Kielezo cha Maendeleo ya Viwanda cha Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB)
Kutoka kivuli hadi alama ya nguvu duniani, Putin alijengaje taswira yake?
Kwa miaka mingi, Vladimir Putin ameibadilisha Urusi kutoka taifa lenye demokrasia changa na dhaifu kuwa dola yenye mfumo wa kiutawala wa kimabavu ambao kwa kiasi kikubwa umejengwa kumzunguka yeye kama rais.
Mwanamke anayeokoa nyoka dhidi ya binadamu
'Kulinda nyoka si suala la uhifadhi wa viumbe pekee, bali pia ni hatua muhimu katika kuokoa maisha ya binadamu kupitia maendeleo ya dawa zinazotokana na sumu ya nyoka', anasema mtaalam wa wanyama Taiwo Okikiola.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 22 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 19 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 19 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 19 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































