BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Nchi iko salama - Inspekta Jenerali wa Polisi Kenya
Hata hivyo, alionya kwamba polisi watawachukulia hatua wale watakaojaribu kusababisha fujo au kuvuruga amani.
Manowari mpya ya Hangor ya Pakistan ina nguvu kiasi gani?
"Hangor" ni aina ya papa anayewinda kimya kimya, akifuatilia mawindo yake kwa subira hadi apate fursa mwafaka, kisha hushambulia kwa ghafla.
'Tulipoingia ndani ya bunge la Kenya tulifyatuliwa risasi'
''Vijana Afrika Mashariki hatutakubali kunyamazishwa na viongozi ambao hawana nia ya kuheshimu katiba na demokrasia, viongozi wa Afrika Mashariki wajue hilo'', Ezekiel ambaye ni mwanaharakati Kenya aiambia BBC.
Makubaliano ya Iran na Marekani: Kwa nini nchi za Ghuba ya Uajemi bado zina wasiwasi?
Nchi za Kiarabu za Ghuba, ambazo ziko katikati ya mivutano kati ya Washington na Tehran, zinafuatilia kwa wasiwasi mkubwa maendeleo haya. Ikiwa mivutano itazidi tena, huenda ndizo nchi zitakazobeba mzigo mkubwa zaidi wa madhara.
Tetemeko la ardhi ya Venezuela: Watu 32 wafariki dunia, mamia wajeruhiwa
Kuna hofu kwamba idadi ya waliofariki huenda ikaongezeka.
Kombe la Dunia 2026: Kwa nini kuna wachezaji wengi wanaochezea mataifa ambayo hawakuzaliwa?
Kombe la Dunia 2026: Kwa nini kuna wachezaji wengi wanaochezea mataifa ambayo hawakuzaliwa?
Al-Aqsa: Waislamu wahofia mipango ya Waisrael juu ya eneo lao takatifu zaidi huko Jerusalem
Eneo hilo—lijulikanalo kwa Waislamu kama al-Haram al-Sharif (Patakatifu pa Tukufu) na kwa Wayahudi kama Temple Mount—ni mojawapo ya maeneo yanayotambulika zaidi navile vile ni kivutio Mashariki ya Kati.
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi: Man United yamwania Malo Gusto wa Chelsea
Kipa wa Uskoti Angus Gunn anawindwa na Manchester United, huku Arsenal wakiendelea kumfuatilia kiungo wa Aston Villa Morgan Rogers na Everton wakitaka kumnunua nahodha wa West Ham Jarrod Bowen.
Iran haiko tayari kuiacha Hezbollah nje ya makubaliano yake na Marekani, Kwa nini?
Baada ya maelezo ya makubaliano ya maelewano kati ya Iran na Marekani kuchapishwa, imebainika kwamba Lebanon ilichukua nafasi muhimu katika maandishi na vipengele vya makubaliano hayo.
Je, ndege ya Trump ya hali ya juu ina uwezo gani?
Airforce One: Rais wa Marekani Donald Trump ameitembelea ndege mpya ya rais, aliyokabidhiwa na Qatar mwaka mmoja uliopita, akiielezea kama "ndege ya kifahari zaidi duniani."
Maoni: Je, Muungano wa Zanzibar na Tanganyika una matatizo?
Mijadala kuhusu muungano si kitu kipya, imekuwepo kwa miaka mingi. Huibuka ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na nje ya chama hicho kwa maana ya vyama vya upinzani, wasomi na wanaharakati. Kuna lipi jipya wakati huu?
Waridi wa BBC: Niliacha shule kidato cha pili, niwe mfanyabiashara mkubwa
Miaka 10 iliyopita, nilikuwa ninaishi Kigamboni huku shule yangu ikiwa Upanga. Kutokana na changamoto za usafiri, ilinichukua kati ya saa nne hadi tano kufika shuleni kila siku
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Mambo muhimu 14 waliyokubaliana Iran na Marekani
Makubaliano ya Marekani na Iran ya kuongeza muda wa usitishaji mapigano kati ya nchi hizo mbili yamesainiwa na sasa yameanza kutekelezwa, afisa mmoja kutoka ikulu ta White House ameiambia BBC.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni 'vigogo' 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Hali ya maisha katika nchi tano salama zaidi duniani 2026
Viwango vya jumla vya amani vilizorota katika nchi 99, ikiashiria mwaka wa kumi na mbili mfululizo wa kushuka kwa hali ya usalama ulimwenguni.
Hifadhi za urani iliyorutubishwa za Iran ziko wapi?
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lilisema wakati huo kwamba Iran ndiyo nchi pekee isiyo na silaha za nyuklia duniani iliyofikia kiwango hicho cha juu cha urutubishaji.
Mataifa 10 ya Afrika yaliyo na uwezo mkubwa wa kiviwanda: Morocco yaipiku Afrika Kusini
Afrika imeshuhudia mabadiliko katika ukuaji wa kiuchumi kati ya Morocco na Afrika Kusini mwaka uliopita 2025, kulingana na Kielezo cha Maendeleo ya Viwanda cha Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB)
Kutoka kivuli hadi alama ya nguvu duniani, Putin alijengaje taswira yake?
Kwa miaka mingi, Vladimir Putin ameibadilisha Urusi kutoka taifa lenye demokrasia changa na dhaifu kuwa dola yenye mfumo wa kiutawala wa kimabavu ambao kwa kiasi kikubwa umejengwa kumzunguka yeye kama rais.
'Tunahofia maisha yetu': Muda wa mwisho kwa wahamiaji kuondoka Afrika Kusini wakaribia
Waandamanaji wameweka tarehe 30 Juni kuwa siku ya mwisho kwa wahamiaji wote wasio na nyaraka halali kuondoka nchini.
'Nimewapiga marufuku wanaume wengi kwenye kliniki yangu ya masaji kwa sababu ya tabia zao'
Baada ya miezi mitatu tu ya kufanya kazi kama mtaalamu wa masaji aliyehitimu, Maria aliamua kuchagua zaidi ni nani anayemtibu.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 25 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 25 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 25 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 24 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































