BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Waziri wa Ulinzi wa Marekani aiambia Iran “kufanya maamuzi ya busara”
Pete Hegseth ameonya kuwa Marekani iko na nguvu ya kuanza tena mashambulizi dhidi ya Iran, iwapo watakataa kuafikia makubaliano ya kusitisha vita.
Dawa mpya na ghali za Ugonjwa wa Alzheimer hazitaleta mabadiliko makubwa katika maisha ya wagonjwa-Utafiti
Mapitio makubwa yamezua mjadala mkali baada ya kuhitimisha kwamba dawa zina manufaa madogo sana kiasi kwamba hayawezi hata kutambulika kwa urahisi kwa wagonjwa.
Sababu ya Ghuba ya Uajemi kuwa na mafuta na gesi zaidi kuliko mahali pengine popote duniani
Sayansi ya sasa ya jiolojia inatambua mambo kadhaa muhimu kuhusu miamba inayofanya eneo kuwa na utajiri wa mafuta, ikiwa ni pamoja na uwezo wake wa kuzalisha na kuhifadhi hidrokaboni. Katika eneo la Ghuba ya Uajemi, mambo haya yako katika kiwango bora.
Mambo manne yanayoweza kutokea katika mzozo wa Marekani na Iran
Usitishaji mapigano, ambao umedumu kwa wiki mbili, bado upo baada ya zaidi ya saa 20 za mazungumzo kati ya Marekani na Iran yaliyoandaliwa na Pakistan ambayo yalimalizika Jumapili bila maendeleo yoyote.
Uchunguzi wa siri wa BBC wabaini kuwa wahamiaji hujifanya wapenzi wa jinsi moja ili kupata hifadhi
BBC imefichua sekta ya kificho inayowatoza wahamiaji maelfu ya pauni ili kuwasaidia kukwepa mfumo wa kutoa hifadhi.
Burudani au matokeo? Arsenal yatinga nusu fainali kwa tabu
Iwapo Arsenal watafanikiwa kunyanyua taji kubwa huenda hata Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza mashabiki hawatajali namna walivyocheza kwenye mechi kama hii.
CHADEMA yarejea kwenye siasa za Tanzania
Viongozi wa CHADEMA wameitaja siku ya leo kama nuru iliyorejea upya
Waridi wa BBC: Mwanamke ambaye utunzaji maiti ndio ujasiri wake
Katika taaluma hii ambayo inaghubikwa na desturi, uwoga na tamaduni. Wengi wanapoingia kwenye chumba cha makafani wanatazamia kumpata mtu mwenye umri mkubwa pengine hata jitu la miraba minne.
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Liverpool yaongoza mbio za kumsajili Senesi
Beki wa Bournemouth Marcos Senesi wa anawaniwa na Liverpool, Reds pia Inamtaka Mmshambuliaji wa Newcastle Anthony Gordon, huku Manchester City wakimfuatilia mlinzi wa Feyenoord Givairo Read.
Ukoloni Afrika: Matukio kumi ya mauaji yaliyoacha maumivu makubwa
Katika makala haya, BBC inaangalia vurugu wakati wa ukoloni na mauaji kumi makubwa ya mataifa makubwa ya Ulaya kati ya 1850 na 1960 dhidi ya Afrika.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
'Natumai vita havitaanza tena': Wairan wana wasiwasi baada ya mazungumzo kutibuka
Mazungumzo dhaifu ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran yamezidi kuwa magumu baada ya juhudi za kumaliza vita kati ya pande hizo mbili nchini Pakistan kumalizika bila makubaliano.
Ni kipi kitafuata baada ya mazungumzo ya amani ya Iran na Marekani kuvunjika?
Ikiwa historia ni mwongozo, mara ya mwisho Iran ilipofikia makubaliano ya nyuklia na Marekani na mataifa mengine yenye nguvu mwaka 2015, ilichukua miezi 18 ya maendeleo ya vipindi na kuvunjika mara kwa mara.
Sababu tano zinazotajwa kukwamisha mazungumzo ya Marekani na Iran
Kabla ya mazungumzo hayo, kulikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa Pakistan na wadau wa kimataifa kwamba huenda yakaleta mwanga wa suluhisho la kudumu.
Papa atoa kipaumbele kwa Afrika ambako Ukatoliki unakuwa kwa kasi zaidi
Leo XIV anataka dunia ielekeze macho yake katika bara lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa Kanisa Katoliki, amesema msaidizi wake.
Jinsi Iran Ilivyogeuza Mlango wa Hormuz kuwa silaha yenye nguvu zaidi duniani
Ikiwa Iran itajaribu kutoza ada kwa meli zinazopita katika Mlango wa Hormuz, swali kuu ni kama Marekani, nchi za Magharibi, na washirika wa kikanda watakubali hatua hiyo.
Mwaka mmoja wa Tundu Lissu gerezani; nini kinaendelea?
Leo Aprili 9, 2026, imetimia mwaka mmoja tangu Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA), kukamatwa na kuwekwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini na uchochezi.
Mataifa 10 yanayoongoza katika uzalishaji wa mafuta duniani
Kulingana na mamlaka ya nishati duniani EIA, Iran ina hifadhi kubwa ya mafuta ghafi duniani.
Christina Koch: Mwanamke wa kwanza kusafiri kwenda mwezini
Mwaka wa 1968, Bill Anders, mmoja wa wanamisheni wa Apollo 8, alipiga picha ya Dunia ambayo iliandika historia, kuathiri maisha ya wengi, na kuhamasisha kizazi kizima.
Kusitisha mapigano kwa muda kunaweza kumaliza vita?
Licha ya kuwepo na makubaliano, vita vinaweza kuendelea baada ya vipengele vilivyokubaliwa kutotekelezwa.
Jinsi vikosi maalum vya jeshi la Marekani hufanya oparesheni ya uokoaji wakati wa vita
Operesheni za kuokoa marubani wa Marekani waliopotea au kuanguka zimekuwa chache katika miongo ya hivi karibuni.
Jinsi Pakistan ilivyosaidia kusitisha vita kati ya Marekani na Iran
Ila Pakistan ikiwa mwenyeji wa mazungumzo hayo, swali la kujiuliza ni iwapo matakwa muhimu za kila pande zitakubalika.
Wanaanga wa Artemis II wavunja rekodi kwa safari ya kihistoria mwezini
Lengo la misheni hii ilikuwa kuweka msingi kwa ajili ya kutua mwezini katika misheni ijayo ya Artemis III.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 17 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 16 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 16 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 16 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani



























































