BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Vita vya Iran: Trump asema 'mashambulizi ya mabomu' yatarejea iwapo makubaliano hayataafikiwa
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo bado kuna sintofahamu kuhusu uwezekano wa kufanyika kwa mazungumzo mapya ya kumaliza vita kati ya pande hizo mbili huko Pakistan.
Ufahamu Mlango Bahari wa Malacca na umuhimu wake kwa biashara ya kimataifa
Njia hii ya bahari huunganisha bahari ya kusini mwa China, ambapo husafirisha theluthi tatu ya biashara zote duniani.
Kwanini Afrika inataka ramani mpya ya dunia?
Togo inapania kuwahimiza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa, kuja na ramani ambayo inaelezea ukubwa halisi wa bara Afrika na kutupilia mbali ramani ya Mercator.
Sababu 4 kwa nini mazungumzo ya Iran na Marekani yako shakani
Hatma ya mazungumzo kati ya Iran na Marekani imeingia katika hali ya sintofahamu kubwa huku muda wa kusitisha mapigano ukikaribia kuisha.
Vijue vizuizi vingine saba vya majini vilivyowahi kutokea duniani
Marekani na Iran zote zimetumia vizuizi vya majini katika vita hivi. Historia inatufundisha nini kuhusu vizuizi hivi?
Slowjamastan: Taifa jipya nchini Marekani
Ingawa Sultan anasema wageni wanakaribishwa katika eneo la jangwa la Slowjamastan, kwa sasa hakuna sehemu ya kulala kwa wageni wanaotaka kukaa usiku.
Tetesi za soka Ulaya: Gordon kuuzwa Bayern kwa £75m
Newcastle United wako tayari kumuuza Anthony Gordon kwenda Bayern Munich kwa dau la pauni milioni 75, huku Manchester United wakimfuatilia kwa karibu Aurelien Tchouameni na Yan Diomande kumrithi Mo Salah Liverpool.
'Waliniambia amekufa': Wanajeshi wa Uingereza waliotelekeza watoto Kenya kufuatiliwa
Vipimo vya DNA na mchakato wa kisheria umefanikiwa kuwabaini baba wa watoto 20 wanajeshi wa Uingereza waliozaliwa karibu na kambi ya jeshi la Uingereza nchini Kenya.
Video, Tazama: Dakika za mwisho kabla ya Marekani kukamata meli ya Iran , Muda 1,00
Marekani imekamata meli ya mizigo iliyokuwa na bendera ya Iran katika eneo la Ghuba kama sehemu ya kutekeleza zuio la majini, Donald Trump asema.
Kutoka kwa Appolo hadi Artemis: Jinsi dunia ilivyobadilika katika miaka 58
Tofauti na mwaka wa 1968, mwaka 2026 satelaiti nyingi zimekuwa zikipiga maelfu ya picha za dunia kila siku.
Mzozo kati ya Trump na Papa hadharani, utamgharimu vipi kisiasa?
Historia inaonyesha kwamba kwa Wakatoliki wengi nchini Marekani, siasa huja kabla ya imani.
Pango linalobadili mtazamo wa dunia kutokana na siri za miaka milioni 49
Mimea huwa ya kijani kwa sababu ina chlorophyll, ambayo hufyonza nishati ya mwanga. Katika mchakato wa usanisinuru au photosynthesis, nishati hii hubadilisha hewa ya carbondioxide kuwa oksijeni.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Marekani itawezaje kuzuia meli za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz?
Marekani itategemea meli zake za majini kudhibiti bandari za Iran, na hivyo kuzuia uwezo wa Tehran kufaidika na mauzo ya mafuta nje ya nchi katika jaribio la kuweka shinikizo kwa nchi hiyo. Itawezekana?
Uchunguzi wa siri wa BBC wabaini kuwa wahamiaji hujifanya wapenzi wa jinsi moja ili kupata hifadhi
BBC imefichua sekta ya kificho inayowatoza wahamiaji maelfu ya pauni ili kuwasaidia kukwepa mfumo wa kutoa hifadhi.
Silaha ambazo Iran ilizitengeneza chini ya vikwazo vilivyobadilisha sheria za mapigano ya angani
Ni silaha ya bei nafuu, inayoweza kutupwa ambayo inaweza kuzalishwa kwa urahisi na kwa wingi. Silaha ambayo haihitaji rubani, haihitaji ardhi adimu, na inaweza kuzalishwa hata chini ya shinikizo la kiuchumi la kizuizi kilichowekwa dhidi ya Iran.
Viboko wa kokeni: Kwa nini Colombia inataka kuwaua viboko wa Pablo Escobar?
Serikali ya Colombia imetangaza mipango ya kuwaua hadi viboko 80 kati ya mamia ya “viboko wa kokeni” waliotokana na dume mmoja na majike watatu walioingizwa nchini na mfanyabiashara wa dawa za kulevya Pablo Escobar kwa ajili ya bustani yake binafsi ya wanyama.
'Natumai vita havitaanza tena': Wairan wana wasiwasi baada ya mazungumzo kutibuka
Mazungumzo dhaifu ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran yamezidi kuwa magumu baada ya juhudi za kumaliza vita kati ya pande hizo mbili nchini Pakistan kumalizika bila makubaliano.
Sababu tano zinazotajwa kukwamisha mazungumzo ya Marekani na Iran
Kabla ya mazungumzo hayo, kulikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa Pakistan na wadau wa kimataifa kwamba huenda yakaleta mwanga wa suluhisho la kudumu.
Papa atoa kipaumbele kwa Afrika ambako Ukatoliki unakuwa kwa kasi zaidi
Leo XIV anataka dunia ielekeze macho yake katika bara lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa Kanisa Katoliki, amesema msaidizi wake.
Jinsi Iran Ilivyogeuza Mlango wa Hormuz kuwa silaha yenye nguvu zaidi duniani
Ikiwa Iran itajaribu kutoza ada kwa meli zinazopita katika Mlango wa Hormuz, swali kuu ni kama Marekani, nchi za Magharibi, na washirika wa kikanda watakubali hatua hiyo.
Mwaka mmoja wa Tundu Lissu gerezani; nini kinaendelea?
Leo Aprili 9, 2026, imetimia mwaka mmoja tangu Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA), kukamatwa na kuwekwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini na uchochezi.
Mataifa 10 yanayoongoza katika uzalishaji wa mafuta duniani
Kulingana na mamlaka ya nishati duniani EIA, Iran ina hifadhi kubwa ya mafuta ghafi duniani.
Christina Koch: Mwanamke wa kwanza kusafiri kwenda mwezini
Mwaka wa 1968, Bill Anders, mmoja wa wanamisheni wa Apollo 8, alipiga picha ya Dunia ambayo iliandika historia, kuathiri maisha ya wengi, na kuhamasisha kizazi kizima.
Kusitisha mapigano kwa muda kunaweza kumaliza vita?
Licha ya kuwepo na makubaliano, vita vinaweza kuendelea baada ya vipengele vilivyokubaliwa kutotekelezwa.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 22 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 21 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 21 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 21 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani



























































