BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Kamanda wa Iran atishia kusambaratisha safari za meli katika Ghuba ya Uajemi, Oman na bahari ya shamu
Kamanda wa Iran amesema iwapo kizuizi cha kijeshi cha Marekani kitaendelea kutekelezwa, watazuia safari za meli kupitia ghuba ya Uajemi, Oman na bahari ya shamu.
CHADEMA yarejea kwenye siasa za Tanzania
Viongozi wa CHADEMA wameitaja siku ya leo kama nuru iliyorejea upya
Ukoloni Afrika: Matukio kumi ya mauaji yaliyoacha maumivu makubwa
Katika makala haya, BBC inaangalia vurugu wakati wa ukoloni na mauaji kumi makubwa ya mataifa makubwa ya Ulaya kati ya 1850 na 1960 dhidi ya Afrika.
Jinsi mazingira ya ajira za Uarabuni yalivyo magumu hivi sasa
"Kila ninapoona picha na video za makombora angani, nahisi hofu na wasiwasi," Norma, mfanyikazi Dubai aliiambia BBC.
Marekani itawezaje kuzuia meli za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz?
Marekani itategemea meli zake za majini kudhibiti bandari za Iran, na hivyo kuzuia uwezo wa Tehran kufaidika na mauzo ya mafuta nje ya nchi katika jaribio la kuweka shinikizo kwa nchi hiyo. Itawezekana?
Waridi wa BBC: Mwanamke ambaye utunzaji maiti ndio ujasiri wake
Katika taaluma hii ambayo inaghubikwa na desturi, uwoga na tamaduni. Wengi wanapoingia kwenye chumba cha makafani wanatazamia kumpata mtu mwenye umri mkubwa pengine hata jitu la miraba minne.
Vita vya Sudan: Jumbe zamiminika kwenye simu ya mwandishi iliyozima kwa miaka mitatu
Mzozo wa Sudan ukiingia mwaka wa nne, mwandishi wa habari Mohamed Suleiman anaangazia kile kilichopotea.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Manchester United inawafuatilia wachezaji wawili EPL
Manchester United inawafuatilia wachezaji wawili wa Ligi ya Premia, Bayern Munich inamtaka mchezaji mwenza wa Harry Kane wa Uingereza, na ni nani takuwa kacha mpya wa Bournemouth?
Polisi Tanzania imezuia pasipoti ya mpenzi wa Ashley na wanamhoji
Polisi nchini Tanzania pia wamesema wanaendelea kufanya uchunguzi wakisubiria majibu kutoka kwa madaktari cha kubaini kisa cha kifo cha mwanadada huyo raia wa Marekani.
'Natumai vita havitaanza tena': Wairan wana wasiwasi baada ya mazungumzo kutibuka
Mazungumzo dhaifu ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran yamezidi kuwa magumu baada ya juhudi za kumaliza vita kati ya pande hizo mbili nchini Pakistan kumalizika bila makubaliano.
Mambo matatu ambayo ni kiini cha mzozo wa Trump na Papa Leo XIV
Alichaguliwa Mei 2025 kama Papa wa kwanza mzaliwa wa Marekani — akiitwa Kardinali Robert Prevost—awali alitumia mtindo wa kutomtaja Trump kwa jina. Lakini sasa mambo yamebadilika
Hospitali iliyoeneza virusi vya HIV kwa watoto kutokana na matumizi ya sindano zilizokwisha tumika
Dkt. Gul Qaisrani, daktari katika kliniki binafsi, alikuwa wa kwanza kugundua mlipuko wa VVU mwishoni mwa mwaka 2024 baada ya kugundua ongezeko la idadi ya watoto wanaokuja katika kliniki yake ambao walipimwa na kupatikana na virusi vya UKIMWI.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Sababu tano zinazotajwa kukwamisha mazungumzo ya Marekani na Iran
Kabla ya mazungumzo hayo, kulikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa Pakistan na wadau wa kimataifa kwamba huenda yakaleta mwanga wa suluhisho la kudumu.
Jinsi Iran Ilivyogeuza Mlango wa Hormuz kuwa silaha yenye nguvu zaidi duniani
Ikiwa Iran itajaribu kutoza ada kwa meli zinazopita katika Mlango wa Hormuz, swali kuu ni kama Marekani, nchi za Magharibi, na washirika wa kikanda watakubali hatua hiyo.
Mpango wa kufuta uchaguzi wa urais unawaweka Wazimbabwe katika mvutano mkubwa
Chama tawala kimewasilisha muswada wa sheria ambao unawanyima wapiga kura nafasi ya kumchagua rais.
Mwaka mmoja wa Tundu Lissu gerezani; nini kinaendelea?
Leo Aprili 9, 2026, imetimia mwaka mmoja tangu Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA), kukamatwa na kuwekwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini na uchochezi.
Mataifa 10 yanayoongoza katika uzalishaji wa mafuta duniani
Kulingana na mamlaka ya nishati duniani EIA, Iran ina hifadhi kubwa ya mafuta ghafi duniani.
Christina Koch: Mwanamke wa kwanza kusafiri kwenda mwezini
Mwaka wa 1968, Bill Anders, mmoja wa wanamisheni wa Apollo 8, alipiga picha ya Dunia ambayo iliandika historia, kuathiri maisha ya wengi, na kuhamasisha kizazi kizima.
Kusitisha mapigano kwa muda kunaweza kumaliza vita?
Licha ya kuwepo na makubaliano, vita vinaweza kuendelea baada ya vipengele vilivyokubaliwa kutotekelezwa.
Jinsi vikosi maalum vya jeshi la Marekani hufanya oparesheni ya uokoaji wakati wa vita
Operesheni za kuokoa marubani wa Marekani waliopotea au kuanguka zimekuwa chache katika miongo ya hivi karibuni.
Jinsi Pakistan ilivyosaidia kusitisha vita kati ya Marekani na Iran
Ila Pakistan ikiwa mwenyeji wa mazungumzo hayo, swali la kujiuliza ni iwapo matakwa muhimu za kila pande zitakubalika.
Wanaanga wa Artemis II wavunja rekodi kwa safari ya kihistoria mwezini
Lengo la misheni hii ilikuwa kuweka msingi kwa ajili ya kutua mwezini katika misheni ijayo ya Artemis III.
Kutana na 'mmiliki' wa mwezi aliyeuza ardhi mwezini na kuwa bilionea
Wanunuzi walikuwa watu maarufu kama marais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan, Jimmy Carter na hoteli kubwa kama Hilton na Marriot.
Jinsi rubani wa Marekani aliyetoweka Iran alivyookolewa
Marekani imemuokoa rubani wa pili aliyepotea baada ya ndege ya kivita ya nchi hiyo kudunguliwa kusini mwa Iran.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 16 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 15 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 15 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 15 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani



























































