BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Iran na Marekani zaanza tena mashambulizi ya kulipizana
Baada ya mashambulizi hayo ya pande zote mbili, Marekani na Iran zilishutumiana kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano.
Je, unaamka saa nane au tisa usiku na kushindwa kulala tena?
Watu wengi wanafikiri kuwa msongo wa mawazo ndio chanzo. Wengine wanahusisha hali na sababu mbaya za kiafya. Hata hivyo, kuamka nyakati hizo kunaweza kuwa ishara ya matatizo mbalimbali.
Je, Tanzania inajenga makazi bora kwa nani?
"Hivi kweli mwananchi wa kipato cha chini hapo umewasaidiaje? NHC leteni miradi ya nyumba za kawaida za milioni 30 au 50. Mikopo ya nyumba iwe miaka 25 au 30," Vanessa Stafford aliandika kwenye ukurasa wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Je, mfungaji bora wa Kombe la Dunia kutoka Afrika ni nani?
Cristiano Ronaldo anaweza kuwa alifunga katika rekodi ya sita ya Kombe la Dunia la Fifa, lakini kuna sehemu moja ya historia ambayo bado haiwaelewi yeye na Lionel Messi, ambaye alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 39 Jumatano
Muhoozi aamuru kufungwa kwa NTV Uganda na vyombo vingine vya habari
Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema haamini katika uhuru wa vyombo vya habari nchini Uganda na kwamba vyombo vya habari vinapaswa kuongozwa kwa kuzingatia misingi ya mapinduzi.
Watanzania walala gizani, umeme ukikatika ghafla
Maeneo yote yaliyounganishwa kwenye mfumo wa taifa wa kusambaza umeme Tanzania usiku kucha yameathiriwa na kukatika kwa ghafla kwa umeme.
Mambo 5 yanayosababisha wenza kutoelewana
Ukosefu wa imani na kuaminiana katika uhusiano, ambao unaweza kufanya kuishi pamoja kuwa na migogoro au wasiwasi, na hatimaye unaweza kusababisha kutengana.
Zuio la mikutano ya kisiasa Tanzania ni mtihani kwa taasisi za dola au vyama vya siasa?
Tangazo la Serikali ya Tanzania la kusitisha kwa muda mikutano yote ya hadhara ya vyama vya siasa limeibua mjadala mpana unaozidi mipaka ya siasa za vyama.
Iran yaishutumu Marekani kwa kukiuka mkataba wa kusitisha vita
Kamandi Kuu ya Marekani au Centcom siku ya Ijumaa ilitangaza kushambulia vituo vya kuhifadhia makombora na ndege zisizo na rubani za Iran.
DR Congo yaishtaki Rwanda katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Waziri wa Sheria wa Congo, Guillaume Ngefa Atondoko Andali, amesema Kinshasa imechukua mkondo wa kisheria kama sehemu ya dhamira yake ya kutatua migogoro kwa njia za amani chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
Vipi ni vipaumbele vya uchumi wa Iran iwapo mali zinazozuiliwa zitaachiliwa?
Ni suala ambalo mara kwa mara limekuwa likijitokeza kwenye vyombo vya habari; wakati mwingine sehemu ya fedha hizo imeachiliwa, lakini mara nyingi limebaki katika kiwango cha mazungumzo, makubaliano ya awali, au ahadi za kisiasa.
Serikali yapiga marufuku tena mikutano ya kisiasa Tanzania
Tangazo hilo limekuja ikiwa ni takribani miaka mitatu tangu Januari 2023, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipofungua tena mikutano ya vyama vya siasa iliyokuwa imepigwa marufuku kwa zaidi ya miaka sita wakati wa utawala wa hayati John Magufuli. Wakati huo, viongozi wa vyama vya upinzani walipokea uamuzi huo kwa tahadhari, wakieleza hofu kuwa marufuku hiyo ingeweza kurejeshwa wakati wowote.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
'Tulipoingia ndani ya bunge la Kenya tulifyatuliwa risasi'
''Vijana Afrika Mashariki hatutakubali kunyamazishwa na viongozi ambao hawana nia ya kuheshimu katiba na demokrasia, viongozi wa Afrika Mashariki wajue hilo'', Ezekiel ambaye ni mwanaharakati Kenya aiambia BBC.
Makubaliano ya Iran na Marekani: Kwa nini nchi za Ghuba ya Uajemi bado zina wasiwasi?
Nchi za Kiarabu za Ghuba, ambazo ziko katikati ya mivutano kati ya Washington na Tehran, zinafuatilia kwa wasiwasi mkubwa maendeleo haya. Ikiwa mivutano itazidi tena, huenda ndizo nchi zitakazobeba mzigo mkubwa zaidi wa madhara.
Je, ndege ya Trump ya hali ya juu ina uwezo gani?
Airforce One: Rais wa Marekani Donald Trump ameitembelea ndege mpya ya rais, aliyokabidhiwa na Qatar mwaka mmoja uliopita, akiielezea kama "ndege ya kifahari zaidi duniani."
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Iran haiko tayari kuiacha Hezbollah nje ya makubaliano yake na Marekani, Kwa nini?
Baada ya maelezo ya makubaliano ya maelewano kati ya Iran na Marekani kuchapishwa, imebainika kwamba Lebanon ilichukua nafasi muhimu katika maandishi na vipengele vya makubaliano hayo.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Mambo muhimu 14 waliyokubaliana Iran na Marekani
Makubaliano ya Marekani na Iran ya kuongeza muda wa usitishaji mapigano kati ya nchi hizo mbili yamesainiwa na sasa yameanza kutekelezwa, afisa mmoja kutoka ikulu ta White House ameiambia BBC.
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Hali ya maisha katika nchi tano salama zaidi duniani 2026
Viwango vya jumla vya amani vilizorota katika nchi 99, ikiashiria mwaka wa kumi na mbili mfululizo wa kushuka kwa hali ya usalama ulimwenguni.
'Nimewapiga marufuku wanaume wengi kwenye kliniki yangu ya masaji kwa sababu ya tabia zao'
Baada ya miezi mitatu tu ya kufanya kazi kama mtaalamu wa masaji aliyehitimu, Maria aliamua kuchagua zaidi ni nani anayemtibu.
Je, uhusiano wa Marekani na Israel unaelekea ukingoni? - Telegraph
Hatua ya Marekani kutia saini makubaliano ya amani na Iran bila kuishirikisha Israel ilionyesha kutokujali usalama wa mshirika wake.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 29 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 26 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 26 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 26 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































