Hedhi:Ni zipi dhana za kupotosha kuhusu hedhi?

Iliyochapishwa

Umeskia mengi kuhusu hedhi na hasa dhana za kupotosha –Lakini je ukweli ni upi katika kila kinachosemwa kuhusu hedhi?BBC inakufafanulia ukweli kuhusu yote unayofaa kujua kuhusu hedhi